KATIBU WA ZAMANI WA SIMBA HASANOO KORTIN
KWA WIZI WA PEMBE ZA NDOVU Mtuhumiwa namba moja wa biashara haramu ya
kusafirisha na kuuza nyara za serikali,Pembe za
ndovu,Hong Kong ChinaKatibu wa zamani wa
Simba, Hassan Othman (Hasanoo, kipelekwa
kizimbani kusomewa mashitaka yanayomkabili
yeye na wengine kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,Dar es salaam jana. MWENYEKITI wa Chama cha Soka Pwani (Corefa),
Hassani Othman maarufu kama Hasanoo (43) na
wenzake watano wamefikishwa katika
Mahakamaya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa
na mashtaka matatu, likiwemo la uhujumu
uchumi na kusafirisha pembe za ndovu (Meno ya Tembo)** kutoka Dar es Salaam kwenda Hong
Kong, yenye thamani ya Sh1.1 bilioni.