Tegete, Yanga 3-1 Prisons, lo Yanga kama Ivory Coast.
Tegete Mturkey!Tegete, Yanga 3-1 Prisons, lo Yanga kama Ivory Coast.
Hadi sasa hivi tofauti yetu na Watani zetu wazee wa kufungasha ni kama ilivyokuwa Ligi ilipokuwa imesimama
prison wakubali matokeo!kwa sekunde zilizo baki hawawezi kuchomoa!!Yanga mbele kwa mbele!!!Dak. 89, 3-1.
Teh teh teheeh!Next time tutakwenda Oman.