Na refa wao.Msimu huu Yanga hapotezi mechi hata moja,kwa raundi ya pili Simba lazima apigike.Stay tuned Ubingwa unakwenda jangwani msimu huu
As Vita,Tp mazembe,Ally hilali .Ukitoka nje ya mipaka Ni kipigo tu 5 kwenda mbele.Ndiyo timu pekee iliyopigwa goli nyingi Ukitoka nje ya nchiUnamaanisha hizi?
View attachment 1667664
Hicho apo shemShemela ikikupendeza nijalie kikosi kilichoenda Unguja.
Nakusubiria shemela.Kuna sehemu nimeona wamekiweka. Ngoja nikakicheck shem.
Wazee wa vjora na madela. Akina mama wa kiswahiliUkiona Yanga katoa sare ujue Simba kafungwa
Asante shemela.Hicho apo shem
View attachment 1667666
Msimu huu raha sana,Ukiona Yanga katoa sare ujue Simba kapigwa .
π€π€π€Asante shemela.
As Vita,Tp mazembe,Ally hilali .Ukitoka nje ya mipaka Ni kipigo tu 5 kwenda mbele.Ndiyo timu pekee iliyopigwa goli nyingi Ukitoka nje ya nchi
Ktimu chenu cha hovyo. Yaan vmechi vchache mmeshinda kwa vigoli kadhaa bas SHIDA. Simba imeshinda hadi wiki hzo tatu nne ndio kbao WAJINGA KWEL NYIEMsimu huu raha sana,Ukiona Yanga katoa sare ujue Simba kapigwa .
Kipigo tu msimu huu,Yanga akitoa tu sare ujue Simba anapigwa.Hizo mechi tatu zilizobaki kumaliza mzunguko wa kwanza Simba anakula kipigo Cha Mbwa kokoWazee wa vjora na madela. Akina mama wa kiswahili
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Tano tano tu Ukitoka nje ya nchi.Ni kipigo kwenda mbele.Hiyo kesho kutwa mnapigwa hapahapa bila chenga.Simba hovyo kabisa
Nipo sana tu! πππHivi kumbe upo? πππ
Kheri ya mwaka mpya bana.
Ooh!! Mmefurahi kukuona.Nipo sana tu! πππ
Nashukuru heri na wewe!
Labda ww na mama yko wote mkawe marefaKipigo tu msimu huu,Yanga akitoa tu sare ujue Simba anapigwa.Hizo mechi tatu zilizobaki kumaliza mzunguko wa kwanza Simba anakula kipigo Cha Mbwa koko
Huwa sikimbii kamwe, labda niwe site kijijini kwenye ujenzi wa taifaOoh!! Mmefurahi kukuona.
Jumatano uwepo usikimbie. πππ
Usije kuanza matusi tu Mtani na wewe. πππ