Yeah, mie shabiki wa Young AfricansNakuonaga kwenye ule uzi wa series,kumbe ktk soka nawe ni mnazi wa timu ya wananchi
Safi sana mdau.....38' Mins | Yanga 2 - 0 African Sports
Kelvin Yondani 32' Mins (Yanga)
Donald Ngoma 37' Mins (Yanga)
safi Kelvin...tutakupa hiyo milioni 60 unayotaka!34' Mins | Yanga 1 - 0 African Sports.
Kelvin Yondani 32' Mins (Yanga)