[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]FULL TIME | Yanga 5 - 0 African Sports
Kelvin Yondani 32' Mins (Yanga)
Donald Ngoma 37' Mins (Yanga)
Amisi Tambwe ( 51' , 72' )Mins (Yanga)
Matheo Anthony 59' Mins (Yanga)
Maelezo yameitendea haki Yangantakaporudi ntakuja kuwapa mafanikio, malengo na mikakati ya yanga.
na hatma ya ubaya tunaopandikizwa kutokana na utajiri tulionao.
Huyo ngoma mbumbumbu hawataki kumsikia kabisa38' Mins | Yanga 2 - 0 African Sports
Kelvin Yondani 32' Mins (Yanga)
Donald Ngoma 37' Mins (Yanga)
we unaangalia threads tu ???? nenda ka compare instagram followers wa Yanga na Simba alafu facebook page ya Yanga na Simba ipi ina likes nyingi utajua wakimataifa ni wepiYANGA THREAD 86K views tangu2008-2016
SIMBA THREAD 199K views tangu2010-2016
alafu bado unahoji timu yenye wafuatiliaji wengi [emoji13]
Uchambuzi makini lazima uufanyie HOME OF GREAT THINKER sio kwenye mitandao ya udakuwe unaangalia threads tu ???? nenda ka compare instagram followers wa Yanga na Simba alafu facebook page ya Yanga na Simba ipi ina likes nyingi utajua wakimataifa ni wepi
Hayo ni mawazo yako, sio kila mtu yupo jf, viva yanga.Uchambuzi makini lazima uufanyie HOME OF GREAT THINKER sio kwenye mitandao ya udaku
Kizuri chajiuza, yanga hawana kelele, ni vitendo tu nyie bakini na porojo.YANGA THREAD 86K views tangu2008-2016
SIMBA THREAD 199K views tangu2010-2016
alafu bado unahoji timu yenye wafuatiliaji wengi [emoji13]
hapa kazi tu mbwembwe za views ni nyau fc kwa matoziYANGA THREAD 86K views tangu2008-2016
SIMBA THREAD 199K views tangu2010-2016
alafu bado unahoji timu yenye wafuatiliaji wengi [emoji13]
Vyura kazini[emoji13]hapa kazi tu mbwembwe za views ni nyau fc kwa matozi
nasikia leo ndo mna ile mechi yenu ya kimataifa, hivi mnacheza na nani vile?Vyura kazini[emoji13]