The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Mzee wa Bruno upoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sare hii
Sio penalty ila ni faul.
Ile haikuwa penati, refa angeweka faulo.
Simba kapewa penati 3 mpk ss, lkn Yanga kapewa moja tu mnaliiiaaa.Utopolo yamebebwa
Usipotumia akili utaona ni penaltyIle haikuwa penati, refa angeweka faulo.
Labda fauluSio penalty ila ni faul.
Yah Namungo 1-0 Yanga.Labda faulu
Katoa pilau kama la Mama j[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi huyu Kabwili kafanyaje? Naona watu wanaandika tu halafu sioni chochote
Jamani naomba koneksheni ya kabwili
Kwa hiyo alikuwa analiwaKatoa pilau kama la Mama j[emoji1787][emoji1787][emoji1787]