Msitutissshhheee. πUzur wa Tanga njia ya kuingilia moja mnapigwa kipapai pale Hale shuhuli imeisha
Lakini Makolo mkiwekwa nao uwanjani jasho linawatoka na mkijitahidi sana basi mnaambulia suluhu.Mtu akiwaona anaweza dhan wachezaj kweli
Matokeo ya form two si yashatoka au kuna mengine[emoji16]Tunajua watakamia sana ila mwisho wa siku tutapata matokeo kama kawaida.
Kumbe mnatuogopa[emoji28]Nilisoma sehemu eti Makolo wanamfuatilia kwa ukaribu Msuva au yalikuwa maneno tu?
Na huyo Phiri si naye nilisikia kama uongozi wetu una jambo naye au zilikuwa rumous?
Wanalijua hilo ila wanajisahaulishaUzur wa Tanga njia ya kuingilia moja mnapigwa kipapai pale Hale shuhuli imeisha
Majuzi ndo walitukaziaLakini Makolo mkiwekwa nao uwanjani jasho linawatoka na mkijitahidi sana basi mnaambulia suluhu.
Saa ingine uonage aibu na wewe. πMajuzi ndo walitukazia
Makolo Ni kibonde wa Yanga milele daima . Akijitahidi uambulia sare .Saa ingine uonage aibu na wewe. [emoji28]
Kwenye ligi mara ya mwisho kutufunga ilikuwa lini?
Hakika na huwa wanajisahaulisha tu wanapotubeza.Makolo Ni kibonde wa Yanga milele daima . Akijitahidi uambulia sare .