Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3
Ingekuwa ni mvua basi mechi ingechezwa kesho J'2
Ishu ni hiyo mambo ya ajali..
Tatizo upo kifurukutwa zaidi...
Yanga kacheza mpira mzuri na wenye malengo...
Kumbuka kibindoni tayari timu ilikuwa na magoli 5 hivyo kitu pekee ilikuwa ni kukaba sana na kutengeneza nafasi za kushtukiza...
Hapana mkuu.
Mimi nilikua Tabara kikazi na nikikua nikaamua niende SHY kumcheki mnyama.Ile nafika TINDE nakutana na mashabiki wanarudi nzega wakasema mechi hakuna bcoz uwanja umejaa maji.

Hongereni watoto wa Jangwani..
Elewa umbali wa kutoka hotelini hadi uwanjani ni 180. kilometres
Kwan game yao ilikuwa leo!!!Nimepata tetesi eti wale etoile du sahel ndo wamepita,je wale kwa mtazamo wale c vibonde tunapiga tuu wana jangwani wenzangu??
Nimepata tetesi eti wale etoile du sahel ndo wamepita,je wale kwa mtazamo wale c vibonde tunapiga tuu wana jangwani wenzangu??
yanga wakifungaGWA huwa nifurahi mwenzenuuuuuu kwikwikwikwi