Yanga ndo wametua muda huu toka Zimbabwe.Hongereni Wanayanga kwa kusonga mbele.
Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3
ahahahahaha next watapangwa na waarabu au Angola.. hapo ndio wataona rangi
Achana na huyu mfurukutwa asiyejua maana ya utaifa...
Yanga ndo wametua muda huu toka Zimbabwe.Hongereni Wanayanga kwa kusonga mbele.
Yani kama weww ni malinzi kwel....bac haufai.........
Thread imeingiliwa na mwendawazimu!
Invisible hili jukwaa halina moderator?Mwendawazimu wa soka....mtetee baasha wako. .
Na picha mnapost sasa ivi...viongozi wenu c wamegoma azam kuonyesha mechi za yanga?
hawa ni weupe tu mkuu,wamekutana na weupe wenzao wanajiona wanajua,ngoja next round ndio wataita maji mma
Hili linahusiana vipi na nilichoandika?
Samahani nilinukuu vibaya!