Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3

Kulikuwa na tatizo la makapu juma yupo slow na hana uzoefu, tatizo lingine twite kiwango kimeshuka na hasa akipangwa kati kulia . Ili yanga icheze vizuri yondani na cannavaro lazima wawepo. telela hajui kukaba ngasa msuva mbwembwe nyingi na kupoteza mipira hawa hawajitambui hawajutii kufanya makosa sio proffessionals unapoteza mipira mbele lakini unajenga shambulizi golini kwako na kuwatesa wengine Msuva abadilike ,ukose magoli , upoteze mipira huna maana ama ufunge goli moja uzalishe mawili kwako mwenyewe
 
Yanga ndo wametua muda huu toka Zimbabwe.Hongereni Wanayanga kwa kusonga mbele.

Yani kama weww ni malinzi kwel....bac haufai hata kuongoza chama cha mpila wa mtaa....plan zako zote zimefeli sijui utajivunia nn ukitoka....manake sitegemei kama utarudi tena....na wale wahaya wenzio ulio wajaza pale watafute kazi mapema.
 
Back
Top Bottom