Wazimbabwe wanashangaa hapa.. hii ndio timu iliyotufunga 5?? Mbona kupiga hata 4 complete passes hawawezi
Game imeahirishwa hadi J3...
hahahahahaaa! mi lilidhani washafuzu sema wanajifanyisha tu kwamba hawashiriki kumbe wanashiriki!WAVUZU wapi hao mikia wana VUZA VUZE VUZI TUUU
usikute sasa tunapangiwa waarabu khaa!!!
Zote hizi hasira za mkia kufanya vibaya...
weee nadhani hukuangalia mpira, ngoja nikuache tu!
Hadi mtangazaji wao kasema "these Tanzanians are confident with what they are doing, they are not time-wasters like we would expect for a team with 5:2 aggregate. If it were West Africans they would do anything to waste time"
cc nifah, Bantu lady

Mimi AZAM bana.. tafadhali usinihusishe na wahuni wenzako wa kariakoo
Shukran kwa taarifa, hope ni kwa sababu ya ile ajali.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala salama.
Amen
Shukran kwa taarifa, hope ni kwa sababu ya ile ajali.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala salama.
Amen
To all Young African Fans, Siku yetu leo tusherehekee vyema kwa raha zetu ikiwa pamoja na kuwaombea wenzetu wapenzi wenzetu wa michezo Simba Ukawa waliopoteza maisha kwa ajali ya gari. Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi Ameen.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
MICHEZO NI AMANI MICHEZO NI UPENDO NA YANGA NDIO MCHEZO WENYEWE.
Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3
Itakuwa umehama simba wewe huna lolote.,Mimi AZAM bana.. tafadhali usinihusishe na wahuni wenzako wa kariakoo
Yap sababu ni ajali ya UKAWA...
Hapana mkuu.
Nasikia ni kwasababu ya kuungana na watanzania wote kuiombea Yanga dua ili isonge mbele!!!
kuna mahali nimesoma eti sababu mvua kubwa inanyesha