Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Wazimbabwe wanashangaa hapa.. hii ndio timu iliyotufunga 5?? Mbona kupiga hata 4 complete passes hawawezi

weee nadhani hukuangalia mpira, ngoja nikuache tu!

Hadi mtangazaji wao kasema "these Tanzanians are confident with what they are doing, they are not time-wasters like we would expect for a team with 5:2 aggregate. If it were West Africans they would do anything to waste time"

cc nifah, Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
Sasa aje uyo mwarabu dadeki....

Namchanachana zaidi ya platinum nyambaf.u
 
To all Young African Fans, Siku yetu leo tusherehekee vyema kwa raha zetu ikiwa pamoja na kuwaombea wenzetu wapenzi wenzetu wa michezo Simba Ukawa waliopoteza maisha kwa ajali ya gari. Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi Ameen.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
MICHEZO NI AMANI MICHEZO NI UPENDO NA YANGA NDIO MCHEZO WENYEWE - By Danny Greeny
 
Last edited by a moderator:
weee nadhani hukuangalia mpira, ngoja nikuache tu!

Hadi mtangazaji wao kasema "these Tanzanians are confident with what they are doing, they are not time-wasters like we would expect for a team with 5:2 aggregate. If it were West Africans they would do anything to waste time"

cc nifah, Bantu lady

Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3
 
Mwambie huyo.
 
Last edited by a moderator:
Shukran kwa taarifa, hope ni kwa sababu ya ile ajali.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala salama.
Amen

Hapana mkuu.
Nasikia ni kwasababu ya kuungana na watanzania wote kuiombea Yanga dua ili isonge mbele!!!
 
To all Young African Fans, Siku yetu leo tusherehekee vyema kwa raha zetu ikiwa pamoja na kuwaombea wenzetu wapenzi wenzetu wa michezo Simba Ukawa waliopoteza maisha kwa ajali ya gari. Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi Ameen.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
MICHEZO NI AMANI MICHEZO NI UPENDO NA YANGA NDIO MCHEZO WENYEWE.

Ni lazima wakubali.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3

Mkuu na mimi sisemei mambo ya kupoteza muda, hicho kilikuwa kibwagizo tu kuonyesha vijana wamecheza kwa kujihami na kujihamini vile vile hasa kipindi cha pili, siyo mbaya kwa ugenini kucheza vile. BTW umeangalia scoring chances walizo-create yanga?

Tukiacha ushabiki pembeni yanga kapoteza nafasi nyingi kuliko wao, sawa moja wameitupia kupata goli lakin overall yanga kapoteza nyingi
 
Jamani eehh!!mechi yetu shinyanga haikupigwa kwasababu ya uwanja kujaa maji!!!!
Tutaipiga j3.
 
Back
Top Bottom