Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Said Juma amepwaya pale kati...Kuna haja ya Kevin Yonda kuingia ili Mbuyu Twite akacheze namba 6...
 
Yanga haijatulia kabisa...wachezaji wanacheza kwa kujihami mno

Na hii ni kipindi cha kwanza, kipindi cha pili si ndio watachezewa nusu uwanja khaa!!!
 
mh! mabingwa wetu wanafundishwa mpira! washalia kimoja!
 
Hawa wetu tu hata kama tutalala uwanjani.
 
Mpira nzuri lakin una presha sana
nifah, Bantu lady, Matale Masuke na wengineo njooni tusaidiane nakufa na presha huku
 
Last edited by a moderator:
Hivi wangekuwa wanafundishwa mpira si wangefungwa 5 mpaka sasa..Kumbuka tunashambulia na kulinda pia...So far tumekosa magoli ma3 ya wazi..Tambwe..Ngassa na Msuva

fc platnamz wamekosa mangapi mpaka sasa?
 
Yanga leo inadhihirisha ukubwa wake. Tulieni. Historia inailinda kwa timu za Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom