The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed
Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi