PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Nimekuelewa, ila wameondoa tu ile SC ili ku comply na sheria za FIFA na CAF, ila sikumbuki kama Yanga iliwahi kufanya mkutano wa kujibadili kutoka SC na kuwa FC, labda wangefanya hivyo ndiyo wangeona ulazima wa kubadili Logo.Kanuni za FIFA hakuna sports club, ni football club
Hapa nimeongelea kanuni za FIFA na CAF kwa Vilabu vya Soka
Ni kama Real Madrid, Mbali ya Footbal club pia wana Basketball team