The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Litafanyiwa kaziHii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed
Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
wewe ndio hujui kuwa jezi za yanga hujengwa juu dhana fulani,na kila aina ya jezi ina dhana yake.Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed
Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
Logo yenu pia ina alama ya uchawi hapo katikati kitu ambacho ni moja ya itikadi yenuHii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed
Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
Ungeuliza nyota na mwenge vina sahiria nini?
wewe ndio hujui kuwa jezi za yanga hujengwa juu dhana fulani,na kila aina ya jezi ina dhana yake.
Logo yenu pia ina alama ya uchawi hapo katikati kitu ambacho ni moja ya itikadi yenu
Unajua maana ya Sports Club? Hiyo michezo yote Yanga imecheza huko nyuma so huwezi jua kama wataifufua tena, moja ya mabondia waliochezea Yanga ni Makongoro Nyerere.Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed
Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
Watoto wa siku hizi ujuaji mwingi sana.Unajua maana ya Sports Club? Hiyo michezo yote Yanga imecheza huko nyuma so huwezi jua kama wataifufua tena, moja ya mabondia waliochezea Yanga ni Makongoro Nyerere.
Sahiria!!Ungeuliza nyota na mwenge vina sahiria nini?