Nimekuelewa, ila wameondoa tu ile SC ili ku comply na sheria za FIFA na CAF, ila sikumbuki kama Yanga iliwahi kufanya mkutano wa kujibadili kutoka SC na kuwa FC, labda wangefanya hivyo ndiyo wangeona ulazima wa kubadili Logo.Kanuni za FIFA hakuna sports club, ni football club
Hapa nimeongelea kanuni za FIFA na CAF kwa Vilabu vya Soka
Ral mardrid, Al Ahly zote ni SC ,na hiyo michezo iko active wana shiriki mashindano yoteNimekuelewa, ila wameondoa tu ile SC ili ku comply na sheria za FIFA na CAF, ila sikumbuki kama Yanga iliwahi kufanya mkutano wa kujibadili kutoka SC na kuwa FC, labda wangefanya hivyo ndiyo wangeona ulazima wa kubadili Logo.
Ni kama Real Madrid, Mbali ya Footbal club pia wana Basketball team
Nimependa namna umeelezea nini wafanye, kama watahitaji kuendelea na Sports Club na kuipa maana, tofauti na ilivyo sasa.Ral mardrid, Al Ahly zote ni SC ,na hiyo michezo iko active wana shiriki mashindano yote
Yanga kama wanataka kubaki kama SC basi kuna haya ya kuendeleza hilo neno sports club, kwa kurudisha 1. NGUMI ,( KWA SASA IKO JUU ,ITAWAONGEZEA MASHABIKI )
2. kurudisha michezo mingine km Sports Club, ( hii itaongeza wigo wa wanachama ,mfn : akina dada kuunda Yanga Netball ,Yanga Boxing ,
Ok: tusihoji sana huwezi kujua MIPANGO YAO,maybe wanataka kusimamisha Football then waje huko kwingine
wakifikia levels za kujenga uwanja wao tutaona kama watakumbuka hizi sports zingine
Mabondia wa ngumi hahahaaa..
Means tunawabonda kwasana tu!
Ya na ndivyo hata mimi napenda iwe hivyoNimependa namna umeelezea nini wafanye, kama watahitaji kuendelea na Sports Club na kuipa maana, tofauti na ilivyo sasa.
Mwenge nafahamu inamaamaanisha uhuru na me sijapinga uwepo wa mwenge wala nyota,nimepinga nilivyovieleza hapo juu
🤣!Kama mnavyowapiga marefa [emoji23]