DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,679
Hii maneno watu wanatoa wapi au toka pande ya akachube enzi knyama..nini...manake naona inazagaa tu watu noma nyie wafukunyuku mpaka kwenye yasitegemeka kusikika kweli bongo noma.hata naye yuko overrated,wataalam wanakuambia mgodi haufai umejaa maji na harufu.ndio maana umejipandisha bei ili wachache wasogelee hasa wazee ambao hawacomplain sana.no wonder vijana hawapigi kambi