Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Dah watu jf waongooo humu,kama humjui mtu usimzungumzie

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 



Kha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Mtoa mada hivi kuna ulazima gani kuandika uzi kwa kupotosha?marehem jimmy hakuwa mfanyabiashara wa madini arusha acha uongo we pimbi..
 
Dah watu jf waongooo humu,kama humjui mtu usimzungumzie

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kuna watu wanakurupuka kuleta habari eidha baada ya kusikia au kuambiwa.
 
Hawa wakina kavila wa magomeni wamelisi mali toka wapi kwa mzee kavila aliekua anakodisha viti na maturubai pale mwananyamala......sijui kama kwewli ni ndugu....ila naona nawachanganya ila wale wamwananyamala wako poa kwa ugali wa sembe na minyamanyama
 
Kuna watu wanakurupuka kuleta habari eidha baada ya kusikia au kuambiwa.

yani utafikili kuna malipo kuandika uzi humu...uongo mtupu siku hizi jf imevamiwa aseee
 
Ila alikua bado mdogo sana..huyu kweli angeweza kuja kua billionea...maake at the age of 21 anamiliki kindege chake.

Thamani ya mali zako zikifika bilioni moja tu tayari wewe ni bilionea. Tupige Hesabu ya fasta hiyo helicopter kama kweli ni yake, Nyumba na mali nyingine anaweza kuwa amevuka bilioni moja.
 

Kavila kwake ni mwananyamala ali Kavila mzee mpiganaji kitambo sana,
 
Asinge kufa tusingejua kuwa ni bilionea.
 
Poleni ndugu ila kwa jinsi anavyoonekana dunia ingekuwaje kama angeishi mpaka miaka 50? anyway Mungu wetu anajua sana na ni mwema sana siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…