Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poleni wafiwa, ila kwa nyie mabilionea wa arusha hasa madini , kama hizo mali mlizipata kwa kudhulumu mtakwisha kiajabu ajabu hivihivi, nlishapata stori moja sasa nimeanza kuamini mlinyang'anya sana mali za watu , na mkamtumia advocate bilionea mawalla na mkashinda sasa mrudieni Mungu , kwa mtazamo tu anzia kifo cha Mawalla , utaona mfululizo wa vifo vya ajabu kwa hawa mabilionea .
Mtoa mada hivi kuna ulazima gani kuandika uzi kwa kupotosha?marehem jimmy hakuwa mfanyabiashara wa madini arusha acha uongo we pimbi..
Dah watu jf waongooo humu,kama humjui mtu usimzungumzie
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kuna watu wanakurupuka kuleta habari eidha baada ya kusikia au kuambiwa.
Ila alikua bado mdogo sana..huyu kweli angeweza kuja kua billionea...maake at the age of 21 anamiliki kindege chake.
Hawa wakina kavila wa magomeni wamelisi mali toka wapi kwa mzee kavila aliekua anakodisha viti na maturubai pale mwananyamala......sijui kama kwewli ni ndugu....ila naona nawachanganya ila wale wamwananyamala wako poa kwa ugali wa sembe na minyamanyama
Story za kuambiwa si unajua tenayani utafikili kuna malipo kuandika uzi humu...uongo mtupu siku hizi jf imevamiwa aseee