Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Umbo tu dogo
Tanzania mabilionea ni wawili tu, wengine ni milionea ambao ni wachache pia. Afu wanafata lakionea na bukuonea
Bilioni moja kwa currency gani, dollar, euro, pound, yen, yuan, rand au shillingi?
Binamu wewe nae kwa fix eti hakanaga maringo kwani ulishawahi kukutana nae?
Binamu wewe nae kwa fix eti hakanaga maringo kwani ulishawahi kukutana nae?
Binamu wewe nae kwa fix eti hakanaga maringo kwani ulishawahi kukutana nae?
Kuna mtu kampost uko insta kuwa kaumia sana na kifo chake juzi walikuwa wote wapi sijui, sasa kumbe na yeye hamjui akaenda kwa page ya mtu akawa anauliza kwan huyu jamaa alikuwa ni nani? Watu wacha wampe vichambo aisehh khaa watu wanapenda kick jaman, mtu mwenyewe kashatangulia
Teh teh teh uwa zina park nyuma ya magari zipo mbili kwa ajili ya wateja kuwahi airport.Mbona hiyo ni ile Helicopter ya Sea Cliff
Na hapo ni kwenye zile parking za Sea cliff
Nilikua simfahamu nashangaa kila star insta kampost au ndo hizo fezwa zake angekua mwingine hata asingepostiwa.
Au hawa ndo ma silent millionaires" kila mtu anasema alikua anajishughulisha na madini na ukichek IG account yke kweli kuna magold gold nn dah R.I.P
Mwenzangu we acha, uko insta leo habar yake ndo imepamba moto, sipat picha msiba wake, warumi cha umbea naanzaje kukosa sasa? Ntaenda kulia utadhan namjua chezeya kick weye, hahahahh ahahah
Halafu alivyo kama mgonjwa vile, mwil hauna afya wakat pesa zipo dah
Yani insta kila mtu jimy jimy kah Mpaka nikashangaa. Ila nimemuona Lina kapost picha akiwa msibani na bongo movie.
Model flani hv mshkaji wake mkubwa kwenye bisness zao za madini anaitwa hydary kavira huyu jamaa atabaki mpweke sana walikua vry close friends alafu wote pesa mbaya. Cwajua kiundani ila niliwafollow mda sana nimewajua kupitia IG tu.