Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Sasa kama alikua anatumia pesa za ulisi kutafuta jina badala ya kusaidia wajane nayatima amefariki hizo pesa atalisi nani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Duuu! Hivi ni kweli haujui kuandika au umefanya makusudi..
 
Hydar ni rafik yake au ni ndug yake yule? Mmh nasikia wana pesa chafu, rafik zake lemutuz hao

Hydar si ndio yule dogo mwenye hydary plaza Na Mali nyingi sana alizoruthishwa lk anaziendeleza vizuri? Naona kama wanafanana wasije kuwa ndugu? Kama Ndugu kweli hao ni Mabilionaire Wacha Lemutuz a Lick A.s.s zao....
 
Sasa kama alikua anatumia pesa za ulisi kutafuta jina badala ya kusaidia wajane nayatima amefariki hizo pesa atalisi nani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hao wajane na yatima ni mtu kutaka mwenyewe kuwasaidia, sio kwakuwa wajane na yatima ndio watu waache kula maisha kisa wao akhaaa basi kina Bill Gates Wangefirisika, cause USA wanaongoza kwa wajane
 
Hao wajane na yatima ni mtu kutaka mwenyewe kuwasaidia, sio kwakuwa wajane na yatima ndio watu waache kula maisha kisa wao akhaaa basi kina Bill Gates Wangefirisika, cause USA wanaongoza kwa wajane

Haujitambui wewe kaa kimya usije ukajitafutia laana bure..
 
Haujitambui wewe kaa kimya usije ukajitafutia laana bure..

Hamna laana wala nini waafrica mmezidi kumsaidia yatima na mjane ni choice sio kwamba mtu ukiwa na pesa usiwafanye yako kisa kuna mayatima na wajane, mbona wazungu hawako hvyo? Ndio yale ukiwa tajiri mzigo wa ukoo mzima uubebe ww WTF? Thats why wa africa awaendelei.....

***YaleYale ya Mayweather kusemwa kwa nini asaidii africa wakati what africa has done for him #SHIT , jukumu la kusaidia yatima, wajane na wazee ni la serikali mtu binafsi kuamua mwenyewe sio Lazima.....
 
Hao wajane na yatima ni mtu kutaka mwenyewe kuwasaidia, sio kwakuwa wajane na yatima ndio watu waache kula maisha kisa wao akhaaa basi kina Bill Gates Wangefirisika, cause USA wanaongoza kwa wajane

Teh Teh sijui watu wana jua vipi kama mtu hasaidii wajane? au mpaka atangaze? Tanzania ni nchi pekee ambapo usipo toa msaada ni kosa la jinai !
 
Wewe unayejua weka habari sahihi,kwani hajafa huyo mtu? umri wa 21 kumiliki helkopter na benzi alikuwa anafanya biz gani?

Mkuu huyo bilionea wa dar huoni sura laini hiyo haijui hata suruba za maisha......r.i.p bilionea
 
Pole zake marehemu. Amefariki mapema sana kabla hata hajaenjoy hela zake.
21 years amewahi nini mbinguni?
Pombe noma sana

Hivi alikuwa kwenye mwendo kasi na anatumia vilevi? Kwa umri wake ulivyo mdogo lazima alikuwa ana kunywa....! Hivi lemutuz huwa anatumia kilevi?
 
Huyo mara ya mwisho alikuwa bar ya Amsterdam iliyopo mbezi beach waliokuwa naye wanasema alikuwa tungi sana.
R.i.p jimmy boy

Huyo alikua bilionea w dar c chuga mtoto wa mama huyo.....utakuta kala konyagi au sminorff zikamzidi akarest in hell
 
Hydar si ndio yule dogo mwenye hydary plaza Na Mali nyingi sana alizoruthishwa lk anaziendeleza vizuri? Naona kama wanafanana wasije kuwa ndugu? Kama Ndugu kweli hao ni Mabilionaire Wacha Lemutuz a Lick A.s.s zao....

Huyo diva anavyomshobokea hydary mmh na atakuwa kamgonga tu, kifo cha huyo dogo jana naonaa kimetetemesha instagram, jana marehemu alikuwa maarufu kuliko kipindi cha uhai wake
 
Hivi alikuwa kwenye mwendo kasi na anatumia vilevi? Kwa umri wake ulivyo mdogo lazima alikuwa ana kunywa....! Hivi lemutuz huwa anatumia kilevi?

Juzi nilimuona escape one alikuwa na akina ray wanakunywa vzur, huyo dogo nasikia alikuwa kalewa that's y alipat ajal
 
Back
Top Bottom