tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hydar si ndio yule dogo mwenye hydary plaza Na Mali nyingi sana alizoruthishwa lk anaziendeleza vizuri? Naona kama wanafanana wasije kuwa ndugu? Kama Ndugu kweli hao ni Mabilionaire Wacha Lemutuz a Lick A.s.s zao....
Mkuu hiyo haidary plaza ni ya muhindi miaka 100