Taifa hli limejaa malimbukeni, ni watu wa mapokeo tu.
Vipi hajapita na lulu kwel?
Yani insta kila mtu jimy jimy kah Mpaka nikashangaa. Ila nimemuona Lina kapost picha akiwa msibani na bongo movie.
MMh msiba wa huyu dogo haijawah kutokea iaseeh, nataka nijue alikuwa ni nani haswaa, maana zile shobo za insta leo ni hatar, watu wanampost mara kumi kumi aiseeh
Wengine wanasma eti alikuwa anafanya biashara ya madini, ila nasikia ni pesa za urithi wa baba ake, halafu alikuwa ana roho nzuri mwenyewe, hakanaga ata maringo aseeh, rest in peace
Lemutuz hajakwenda? Ni rafiki yake na anaweza kuchaguliwa kuwa mwenye kiti wa mazishi
Huyo anaonekana miaka 21 hakafiki kabisa........! Hivi ni rafiki yake Lemutuz?
Kila Mtu akiwa bilionea basi jua kuwa lemutuz rafiki yake..we tazama hicho kitoto lemutuz anavyokinyenyekea
Thamani ya mali zako zikifika bilioni moja tu tayari wewe ni bilionea. Tupige Hesabu ya fasta hiyo helicopter kama kweli ni yake, Nyumba na mali nyingine anaweza kuwa amevuka bilioni moja.
....
...Ngapulila !!!
Jamani hii New Bagamoyo Rd. Inachinja watu.
Lemutuz tena, kampost insta anasema alikuwa kwenye gari lake la kifahari la benz, yani mtu kafa ye anawaza ufahari tu,mmh kama degree tatu ndo mtu unakuwa hvyo mimi sizitaki kabisa
Sasa kama alikua anatumia pesa za ulisi kutafuta jina badala ya kusaidia wajane nayatima amefariki hizo pesa atalisi nani
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Pole zake marehemu. Amefariki mapema sana kabla hata hajaenjoy hela zake.
21 years amewahi nini mbinguni?
Pombe noma sana