Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
nimejiuliza sana hilo swali nikasema ngoja tumpe muda mana makanisa ya siku hizi mengi kimeo anaweza kufungishwa hivyo hivyo na msuko wakeHyo ndoa kafungia kanisa lipi na hyo "twende kilioni" ya kichwani??
Ni kiki ya wimbo hyo
Hakuna kitu hapo ni kiki tunimejiuliza sana hilo swali nikasema ngoja tumpe muda mana makanisa ya siku hizi mengi kimeo anaweza kufungishwa hivyo hivyo na msuko wake
😀😀😀 Mzee wa UpakoHilo kanisa alofungia hiyo ndo labda huyo kiongozi alikuwa kalewa
Labda asee😀😀😀 Mzee wa Upako
Hakuna kitu hapo ni kiki tu
don't caresasa wewe mwenyewe hauna uhakika"", heading haikupaswa kuandikwa hivyo aisee
Kabisa lazima awe mlevi coz hii sio hali ya kawaidaHilo kanisa alofungia hiyo ndo labda huyo kiongozi alikuwa kalewa