Young D afunga ndoa kimya Kimya

Young D afunga ndoa kimya Kimya

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Ni Young Dar es salama,Kama ni kweli basi Hongera sana dogo....but kama ni wimbo basi tunausubiri...
Screenshot_20180812-161222.png
Screenshot_20180812-162125.png
Screenshot_20180812-181943.png
 
sasa wewe mwenyewe hauna uhakika"", heading haikupaswa kuandikwa hivyo aisee
 
King Kiba alikuja na ndoa ya kweli...ila bado haikukiki na ngoma ishatupwa kapuni...

Upuuzi huu...
 
Hizo nywele zimetulia tu hapo kichwani, wengine mna jealous tu mkisuka nyinyi mtaonekana kituko. Lini mtaacha kuwa majaji wa maisha ya watu wengine?
 
Back
Top Bottom