Kanisa co msikiti hakuna masharti masharti!Hyo ndoa kafungia kanisa lipi na hyo "twende kilioni" ya kichwani??
Ni kiki ya wimbo hyo
Bwana harusi ni yupi hapo? Au hao ni ma maids?Ni Young Dar es salama,Kama ni kweli basi Hongera sana dogo....but kama ni wimbo basi tunausubiri...View attachment 833666View attachment 833679View attachment 833820
ProbablyHuyo mchungaji atakuwa LUSEKELO
Mkuu ww ni jinsia ganiiNdo nani Huyo
MdarisalamaNdo nani Huyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mi natokea Arusha jombaa huo u darisalama sijui nautolea wapi.Mdarisalama
Mwanaume.Mkuu ww ni jinsia ganii
Kwanini ulijiita hilo jina.Mwanaume.
kati ya hao wawili yupi ni bwana harusi?
We kwanin ulijiita Da'vinciKwanini ulijiita hilo jina.
Sorry lakini
Nampenda mwanasayansi L. Davinci kama role model wangu ndio nikachukua hilo jinaWe kwanin ulijiita Da'vinci
Ok safi kiukwel kati ya tunda ninalolipenda sana ni chungwa kwahyo hata shemeji yako mwisho wa siku akanibatiza machungwa.hivyo tu.Nampenda mwanasayansi L. Davinci kama role model wangu ndio nikachukua hilo jina