Young D afunga ndoa kimya Kimya

Young D afunga ndoa kimya Kimya

Huyu kaoa au kaolewa na hlo
Kanisa huyo mchungaj alikuwa kalewa ama
 
alieoa, alieolewa na aliefungisha ndoa wote bang
 
Nampenda mwanasayansi L. Davinci kama role model wangu ndio nikachukua hilo jina
Ok safi kiukwel kati ya tunda ninalolipenda sana ni chungwa kwahyo hata shemeji yako mwisho wa siku akanibatiza machungwa.hivyo tu.
 
Back
Top Bottom