Young D -kiutani utani

Young D -kiutani utani

si useme tu umemtamani young d kimapenzi, mm nlikubali tu ile ngoma yake ya "teacher" aliyoitoa mwaka 2008 Dinazarde
 
FURSA;Wadau naombeni Ushauri ili namimi nitusuee.Naanza, Diamond ana Brand ya Karanga,,Idd Brand ya Viatu,na wengine kibao wenye fursa za Mfumo huu.Naombeni Ushauri nifanyeje kuyapaki Mahindi ya Kuchoma ili iwe Brand yangu na Mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app


Viroba vimepigwa marufuku, azisha brand ya gongo tukuunge mkono.
 
Kiutani utani.. Ryoba alikuwa anamuona dee mtoto,na alikuwa anamchukulia kitoto sana.
Kiutani utani anatoboa hivo
 
Back
Top Bottom