FURSA;Wadau naombeni Ushauri ili namimi nitusuee.Naanza, Diamond ana Brand ya Karanga,,Idd Brand ya Viatu,na wengine kibao wenye fursa za Mfumo huu.Naombeni Ushauri nifanyeje kuyapaki Mahindi ya Kuchoma ili iwe Brand yangu na Mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app