Young D na Tunda wamefikia mwisho

Young D na Tunda wamefikia mwisho

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
2,847
Reaction score
1,828
Nimejaribu kupitia kurasa zao za instagram hawa ndugu zetu, naona kila mtu hana tena picha ya mwenzake au wakiwa wapo wote, vipi mapenzi yamefika mwisho au kuna nini?
 
Nimejaribu kupitia kurasa zao za instagram hawa ndugu zetu, naona kila mtu hana tena picha ya mwenzake au wakiwa wapo wote, vipi mapenzi yamefika mwisho au kuna nini?
Tunda kampiga chini young d sema yound yupo kubembeleza waendelee tunda kasema hataki
 
Back
Top Bottom