Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

dah kilichonisikitisha yule mtoto wa kitanga mazingira anayoishi ya kigheto gheto na akiwa na mtoto mdogo.

dah itabidi nimtafute me nimchukue tu niishi nae mtoto ntamlea tu hata kama si wangu.
 
wadogo zangu nawashauri wapunguze kupapatikia wasanii..
mmekutana mwezi wa 3 huohuo washika mimba jaaaa....

funzo kwa yule binti na wengine wote..!

Ila young D bwege sana yaani anajijua msanii halafu anakataa mtoto then kabinti kazuri kale doohh!
maisha anayoishi yule binti aiseeehhh...na wale marafiki zake jamani jamani hapana
 
Kiukweli yule mtoto mamisa ni mzuri yaani maisha Yale ya kuunga unga lakini yuko vizuri kimuonekanoo
Hao wakujipodoa podoa wakasaidAA
MAMISA YUKO MZURI KULIKO MAUPUPU YA YOUNG D
 
Binam Huyo mtoto msomuambukize ushilawadu wenu
 
Mama wa mtoto mzuri sana. Yani Mamisa angepata matunzo mazuri basi hata huyo tunda angeonekana kituko.
Umeonaeeh...
Mamisa mrembo kuliko, ila ni kawaida ya me wanadanganyika na makeup tu.
 
Tatizo vibinti vinatabia ya kushobokea wasanii kumbe wasanii wanategemea wakina chief kiumbe waishi mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…