Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu watoto wa kukataliwa wanapasuaga life.
Sana, teh nadhani baba ake diamond huwa anatamani siku zirudi nyuma awe anamsindikiza mke wake clinic 😀Alafu watoto wa kukataliwa wanapasuaga life.
Huyu dogo alipokuwa anaulizwa km anamjua mzazi mwenzie anajibu kikavu simjui nimemuona ndezi. Afu akili ya huyu dogo Ni premature
Nunua TV kijana uko nyuma Sana
Ushahiditatizo la uyo dogo ung. ndio unampeleka less
Umenichekesha sanaaSana, teh nadhani baba ake diamond huwa anatamani siku zirudi nyuma awe anamsindikiza mke wake clinic 😀
😛😛😛Kesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
Kwa hiyo baba ake Diamond naye mmbeaYa kweli haya au Makungu
Mana kuna watu walizusha Diamond hamtunzi baba ake kumbe umbea
Umeonaeeh...Mama wa mtoto mzuri sana. Yani Mamisa angepata matunzo mazuri basi hata huyo tunda angeonekana kituko.