Ndio yeye huyo.SEPNGA HUYO DEMU?
Binam andika basi taratibuStudy mbra naina alikua anaangalia mpaka afya kama no muathurika au VIP, sna bahat mama hana maambukiz
Kama alivyopasua life Gigi Money vile.Alafu watoto wa kukataliwa wanapasuaga life.
Humuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.Nipeni number ya mwanamkee huyo nimleye yeye na mwanaye ....
Well said mkuu...hv vitoto cku hz akil zao ziko kwenye chura..ila wanasahau kuwa bibi naye alikuwa sista duu...Humuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.
Wanaume nusu hawapendag majukumu,Aisee huyu dogo alinichefua sana....matunzo hatoi bado anamkana mzazi mwenzie hadharani?? Kwa yale mazingira anayoishi Mamisa ni stress tosha afu eti aongezewe hiyo nyingine ya kukanwa....haya mambo yataathiri makuzi ya mtoto pia.....wanaume kama hao ndo utawakuta wanaponda single moms ila kugonga peku wanagonga na hawana ubavu wa kulea mxyiuuuuu.......
Watu wananstidia kwa savabu ya mtoto tu, take mazingira vo mazuri, umalaya wake hautuhusuHumuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.
Jamani sijui ni utani ama la...but usimtamkie mtoto maneno ya hivyoKesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
Watoto wa siku hizi hakubali kudanganyika kirahisi[emoji31]Uchochezi huo,,' utafanya tuanze kukataa watoto ili watusue baadae tuwatafute tule matunda [emoji4][emoji4]
Unaakili sanaMama wa mtoto mzuri sana. Yani Mamisa angepata matunzo mazuri basi hata huyo tunda angeonekana kituko.
InakeraSperm donors ni wengi, afu siku maisha yakimtmb huko anarudi kutafuta mtoto maneenah