Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

young d mpuuz tu, kwanza nilikua namsifia kafanana na patoranking, sasa kuanzia leo hajafananae wala nin *****,
 
Ningekuwa cjaoa ningemtafuta hamisa nimuoe aisee, yuko vizuri sana, hajakaa kwenye kioo yuko vile, vipi akijipodoa, huyo tunda atasubili sana.
 
Hizi tabia za kukataa watoto wakipata mafanikio unaanza kuwalilia wakusaidie yani sipati picha ndo mimi amenitelekeza toka mdogo afu anakuja kujipendekeza baada ya kufanikiwa
 
Video please na picha ya mama tamar, Tudhaminishe tuchukue mama pamoja na mtoto
 
Nipeni number ya mwanamkee huyo nimleye yeye na mwanaye ....
Humuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.
 
Co kama kapenda kumkataa hii hal ss iv co unaweza ukalsalt hata tumbo lako jaman haya mambo n makubwa jaman watu wanaish maisha ya tamthilia
 
Humuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.
Well said mkuu...hv vitoto cku hz akil zao ziko kwenye chura..ila wanasahau kuwa bibi naye alikuwa sista duu...
 
Aisee huyu dogo alinichefua sana....matunzo hatoi bado anamkana mzazi mwenzie hadharani?? Kwa yale mazingira anayoishi Mamisa ni stress tosha afu eti aongezewe hiyo nyingine ya kukanwa....haya mambo yataathiri makuzi ya mtoto pia.....wanaume kama hao ndo utawakuta wanaponda single moms ila kugonga peku wanagonga na hawana ubavu wa kulea mxyiuuuuu.......
Wanaume nusu hawapendag majukumu,
 
Ndio wanawake wa dar mjifunze mnapenda kushobokea majina ya watu ili mradi watu wakuone unatoka na fulan mwisho wa cku ndio huo ukiwaangalia wanawake wazur angalia mazingira yao yanatisha balaa ukweli mjifunze ile sio hal ya kawaid
 
Humuwezi huyo. Vibinti vingi vya mjini inavyodhurura na hao mabongo flavor ni vicheche na vichangu dizain. Ndugu na wazazi walishawashindwa. Ungefuatilia interview ungeamini pale alipoulizwa kuhusu wazazi akasema wamefariki (anaongopa) ndugu yoyote amedai haelewani nao na walishagombana. Kwa umri wake kiafrika bado angekua under umbrela ya familia lakini yuko ghetto. Hao ndio ma gold digger sasa kakuta chuma.
Watu wananstidia kwa savabu ya mtoto tu, take mazingira vo mazuri, umalaya wake hautuhusu
 
Kesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
Jamani sijui ni utani ama la...but usimtamkie mtoto maneno ya hivyo
 
Back
Top Bottom