Young Dee akiri kutumia dawa za kulevya, aomba radhi

dah unga hauachwi kwa kusema tu mdomoni bhana, akampe kampani dada ake ray c pale rehab hata tuweek tutatu labda ndo wataipunguza kidogo kwny blood stream.
 
Huyo dogo kaanza kutumia kitambo hasa bangi tangu anasoma kitunda secondary na alikuwa amepanga mtaani kwetu yey smtym alikuwa pusha namfaham vzuri sana huyo
Nani anaongelea bangi hapa?
 
Kweli Magufuli kakaza,mpaka watu wanakimbia unga si mchezo! Sukari kitambo imeadimika,sijui mchele nao vipi?
 
Sijaelewa...sisi wanainchi tunaombwa radhi kwa lipi haswa?

Mimi nilidhani waliomuuzia unga ndio wangeita waandishi na kumuomba yeye radhi.
 
Huyu dogo huaga nmkubali ,,kumbe lisemwlo lipo mpaka kakiri mwenyewe
 
Kuna kipindi nilisema young D anatumia madawa kuna mjinga jamii forum alibisha na kunitukana mtu anayetumia madawa nisawa upande mti wa mnazi nyuma ya nyumba
 
Aendelee tu kwani kuna shida gani, anamuumiza nani? Amevunja haki ya nani?
 
mwache aendelee tu na hayo madawa siku hizi yanachangia sana vijana kuwa mashoga
 
..dah.,kuna mijitu minafiki hatari!..eti haiwahusu wakati imesoma heading inamuhusu Young D hadi imekomenti maamae!...mingine nayo eti aendelee tu!
..my middle finger salutes you all!
 
Hao watu hawaaminiki kabisa,nikimuona Ray c,sina hamu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…