Young Dee apigwa chini na Amber Lulu

Young Dee apigwa chini na Amber Lulu

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Akihojiwa na Sudi Brown wa You Heard ya Clouds FM, Amber kadai kaamua kuifuta tatuu ya Young Dee kwa sababu hakuna chochote kati yao ila ni urafiki tuu. Young Dee kwa upande wake naye kadai hakuna chochote kati yao zaidi ya kuchorewa tatuu na A. Lulu. Sudi inaonekana anaamini wawili hawa wapo kwenye mahaba mazito kisa tatuu. wenye siri ni wawili hawa.
 
Ahsante kwa ubuyu

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe huu unaona ni bonge la ubuyu au sio?? Je siku tukikwambia 50 cent pamoja na a ugangstar wote ule lakini hanywi wala havuti si hutoamini??
 
Buyonse

Sheebah-701x817.jpg
 
Ubuyu hauna mashiko huuu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Badala ya kazi zao kusikika imekuwa ujinga wao ndo unasikika sana.
 
Back
Top Bottom