Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Akihojiwa na Sudi Brown wa You Heard ya Clouds FM, Amber kadai kaamua kuifuta tatuu ya Young Dee kwa sababu hakuna chochote kati yao ila ni urafiki tuu. Young Dee kwa upande wake naye kadai hakuna chochote kati yao zaidi ya kuchorewa tatuu na A. Lulu. Sudi inaonekana anaamini wawili hawa wapo kwenye mahaba mazito kisa tatuu. wenye siri ni wawili hawa.