LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Huu mtihani wa "Penda unapopendwa" unatushinda wengi sana, huangukia pua na maumivu juuAmber lulu anampenda young dee ila mwenzie hana tym wanawake wengine hawajui kumove on penda unapopendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mtihani wa "Penda unapopendwa" unatushinda wengi sana, huangukia pua na maumivu juuAmber lulu anampenda young dee ila mwenzie hana tym wanawake wengine hawajui kumove on penda unapopendwa
Na utazaa mtoto mwenye kichwa kama ncha ya Bamia, achakutukana uumbaji wa Mungu we una uzuri gani haswaa?Mtake radhi amber rose .... Amber lulu huyuhuyu mwenye kichwa kama ncha ya mb0.
ni kweli lkn inafikia hatua inabidi tu umwacheHuu mtihani wa "Penda unapopendwa" unatushinda wengi sana, huangukia pua na maumivu juu
Kwani we sio wa daslamumaarufu wa mastar wa daslam wanaujua wenyewe aisee kumbe huyo dada nae ni star
Kumbe ndo hiko hivyo nilitaka kushangaaAmber lulu anampenda young dee ila mwenzie hana tym wanawake wengine hawajui kumove on penda unapopendwa
Celebrity huyo lazima afatiliweHivi inakuaje mtu unafuatilia maisha ya vi young young?? Dah!
Umeona eeh inaboa kichizi kuona amber rose kufananishwa na huyu anayejiita amber luluMtake radhi amber rose .... Amber lulu huyuhuyu mwenye kichwa kama ncha ya mb0.
Ndoto ya alinacha hii mkuuKama kuna meneja mwenye pesa za kutosha anataka kuwekeza na kujipatia umaarufu kwa Africa mashariki hii mimi namshauri awekeze kwa Amber lulu. Baada ya miaka kadhaa amber lulu atakuwa kama Hudah Menroe
Kama li baya lisiambiwe?Na utazaa mtoto mwenye kichwa kama ncha ya Bamia, achakutukana uumbaji wa Mungu we una uzuri gani haswaa?
Ndio mpk tatoo uyo lulu kajichora mwenzie kila siku anamkana kwenye interviews yy kimbele mbele kusema wana uhusianoKumbe ndo hiko hivyo nilitaka kushangaa
Nyie jamaan na nyie mnazaa midomo hiyoKama li baya lisiambiwe?
ha ha ha hiyo vijana wa kileo wanaita SHANAPANdio mpk tatoo uyo lulu kajichora mwenzie kila siku anamkana kwenye interviews yy kimbele mbele kusema wana uhusiano
Libaya bhana mimi kila nikiliona naghadhibikaNyie jamaan na nyie mnazaa midomo hiyo
HahahaHuu mtihani wa "Penda unapopendwa" unatushinda wengi sana, huangukia pua na maumivu juu
PoleniHahaha
Huu mtihani ni kama mchezo wa ndondi vile unakuwaga rahisi kujaji ukiwa nje unasema si angepiga pale, sasa siku ukikupaa na wewe ndio unaona mambo yalivo magum
Hahahakama ni kweli hii habari Young Dee kazingua li demu gani lile lina mchogo utafikiri nini sijui
Yaah ndo inavyotakiwa hivyo ukimung'unya maneno ujumbe haumuingii muhusika vizuriHahaha
Hance uwa unaongea straight, hutikisi maskio
Bora mwenzio ana mchogo lakini chura anae kuliko wewe mwenye kichwa flat na kibamiaHahaha
Hance uwa unaongea straight, hutikisi maskio