Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Huyo sista inaonekana anamfia sana jamaa, halaf jamaa huwa ana chovya naye kidogo kidogo kutokana na effort za huyo csta, ila anaonaga aibu tuu kusemaYaah ndo inavyotakiwa hivyo ukimung'unya maneno ujumbe haumuingii muhusika vizuri