Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Amber lulu anampenda young dee ila mwenzie hana tym wanawake wengine hawajui kumove on penda unapopendwa
Huu mtihani wa "Penda unapopendwa" unatushinda wengi sana, huangukia pua na maumivu juu
 
Kama kuna meneja mwenye pesa za kutosha anataka kuwekeza na kujipatia umaarufu kwa Africa mashariki hii mimi namshauri awekeze kwa Amber lulu. Baada ya miaka kadhaa amber lulu atakuwa kama Hudah Menroe
Ndoto ya alinacha hii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…