Young Dee na Amber lulu mambo hadharani

Huyo sista inaonekana anamfia sana jamaa, halaf jamaa huwa ana chovya naye kidogo kidogo kutokana na effort za huyo csta, ila anaonaga aibu tuu kusema
hata ningekuwa mimi nam'bandua huyo mtoto ningekuwa nakataa kabisa ni aibu kubwa sana kutoka na msichana kama huyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuwa namuelekeza jamaa situation ilivo kuwa yaan alikiwa anaongea kama ilivo nitokea, so ni kawa namtetea kwa wale wanao msema.
Ila nilisha move on si lii lii tena
Oooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…