Young Dee ndani Ya USA

ifike wakati tuache kukariri kila jambo, maisha ya vijana wengi bongoland ni mwendo wa kuendeshwa na hisia tu, fulani akifanya ivi bhasi ni fulani, simple thing is that "YOU (WE) MAY KNOW YOUNG DEE IN A CERTAIN PART BUT YOU CAN NEVER KNOW HIM AS HE KNOWS HIMSELF" mengine achieni ALLAH ahukumu, fununu zimekuwa nyingi sana mpaka kero since wayback hajaanza kukwea mapipa hadi leo stori ni zilezile, msemaji ni yuleyule, format ni ileile, kila kitu kilekile.
 
Unajua hii michongo ya kwenda nje wanapewa na nani na wanafikia wapi? Mtu anakanyimbo kamoja kakiswahili anaitwa kwenda kuwaimbia wamarekani, Kuna mambo mengine yanamakandokando mengi saana
 
Kwani hawa wasanii si tunaishi nao huku huku mitaani, wengine ni marafki na ndugu zetu
Ukiambiwa kitu usicho kiamini kipuuzie tu ila haimanishi ukweli haujulikani.
Young dee ni shoga, ndo utabaki kuwa ivo but ni maisha yake
Celebrity kuongelewa kwa uzuri au ubaya ni part ya entertainment industry ndo wengine wanajitengenezea skendo wapate kiki
Waache watu waburudike na entertainment news
 
its greedy sayin nasty things like that, kutengeneza hoja zilizokosa mashiko na ushahidi ni rahisi sana kuliko kuzitetea, ukiulizwa niliambiwa na mtu wake wa karibu na yeye atasema na mtu wake wa karibu, na yeye wa karibu ukija njiani ukajiuliza uyu mtu wa karibu ni nani, jibu huwa rahisi sana " NILIAMBIWA TU ILA SIMJUI" the cycle goes around again and again.
 
"the truth doesnt matter if the lie is more interesting"
 
Mambo ya kupiga picha show off na magari sio yako ni ufala. Kuna mwana mmoja tuko naye mapande haya ndio zake. Show off za Facebook tu
 
Dah jombaa mbona kama unatetea sana....kuna vitu watu wanajua ambavyo wewe huvijui...ni bora kupiga kimya uskilizie tu kama sisi wengine.
 
Dah jombaa mbona kama unatetea sana....kuna vitu watu wanajua ambavyo wewe huvijui...ni bora kupiga kimya uskilizie tu kama sisi wengine.
WEWE UMESEMA, NA HUWA SITETEI UJINGA, NACHOSEMA NI REALITY SUCK IT OR LEAVE IT,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…