Young Dee ndani Ya USA

Young Dee ndani Ya USA

Sitaki kuamini hii Ndo Mara ya kwanza young Dee anaingia USA, maana sio kwa kutupostia mpaka VISA , kweli ushamba mzigo , Sasa sijui Na huko kaenda kufanya show Au ndo baecation.

Siku hizi naona young Dee mambo yake si haba, soon na yeye mtamuona anaanza kuchafua passport kama ommy dimpoz, eeh anajitahidi. Na hii ni trailer soon mtasikia young dee kafungua duka la nguo , maana danga lake si mchezo.

Bora tu udange mwenznagu , maana hip hop hailipi, na ujitahidi Sasa kulea ndoa , maana na wewe soon utaachwa kama naniliu na brevis uporwe na ufukuzwe kwenye ghorofa hlo, sijui utaenda wapi mjin hapa View attachment 1080014. Kwanza maisha yenyewe magumu, kwan kutoa Tigo sh ngap?🤣, na USA ungeishia kuisikia kwenye bomba
ifike wakati tuache kukariri kila jambo, maisha ya vijana wengi bongoland ni mwendo wa kuendeshwa na hisia tu, fulani akifanya ivi bhasi ni fulani, simple thing is that "YOU (WE) MAY KNOW YOUNG DEE IN A CERTAIN PART BUT YOU CAN NEVER KNOW HIM AS HE KNOWS HIMSELF" mengine achieni ALLAH ahukumu, fununu zimekuwa nyingi sana mpaka kero since wayback hajaanza kukwea mapipa hadi leo stori ni zilezile, msemaji ni yuleyule, format ni ileile, kila kitu kilekile.
 
Unajua hii michongo ya kwenda nje wanapewa na nani na wanafikia wapi? Mtu anakanyimbo kamoja kakiswahili anaitwa kwenda kuwaimbia wamarekani, Kuna mambo mengine yanamakandokando mengi saana
ukiwa na hela kwenye umri mdogo Bongo utaambiwa unalelewa/shoga yani watu wanataka kuona mtu anafanya maajabu umri kama wa kina MENGI huko.

Asee dunia imebadilika watu wanaenda kwa speed hela inatafutwa mapema sana... show off za hivyo kwa wasanii ndio kula yao,msaniii asie na show off huyo mi naonaga hajielewi na hajui usaniii unataka nini.

Vituko vituko kama hivi vya kufanya wakuone mshamba ndio vinavyowapa wenzenu kula...shauri yenu muiteni mshamba,mnavyozidi m discuss ndio mihela inamkaribia zaidi.
 
ifike wakati tuache kukariri kila jambo, maisha ya vijana wengi bongoland ni mwendo wa kuendeshwa na hisia tu, fulani akifanya ivi bhasi ni fulani, simple thing is that "YOU (WE) MAY KNOW YOUNG DEE IN A CERTAIN PART BUT YOU CAN NEVER KNOW HIM AS HE KNOWS HIMSELF" mengine achieni ALLAH ahukumu, fununu zimekuwa nyingi sana mpaka kero since wayback hajaanza kukwea mapipa hadi leo stori ni zilezile, msemaji ni yuleyule, format ni ileile, kila kitu kilekile.
Kwani hawa wasanii si tunaishi nao huku huku mitaani, wengine ni marafki na ndugu zetu
Ukiambiwa kitu usicho kiamini kipuuzie tu ila haimanishi ukweli haujulikani.
Young dee ni shoga, ndo utabaki kuwa ivo but ni maisha yake
Celebrity kuongelewa kwa uzuri au ubaya ni part ya entertainment industry ndo wengine wanajitengenezea skendo wapate kiki
Waache watu waburudike na entertainment news
 
its greedy sayin nasty things like that, kutengeneza hoja zilizokosa mashiko na ushahidi ni rahisi sana kuliko kuzitetea, ukiulizwa niliambiwa na mtu wake wa karibu na yeye atasema na mtu wake wa karibu, na yeye wa karibu ukija njiani ukajiuliza uyu mtu wa karibu ni nani, jibu huwa rahisi sana " NILIAMBIWA TU ILA SIMJUI" the cycle goes around again and again.
 
"the truth doesnt matter if the lie is more interesting"
 
Mambo ya kupiga picha show off na magari sio yako ni ufala. Kuna mwana mmoja tuko naye mapande haya ndio zake. Show off za Facebook tu
 
its greedy sayin nasty things like that, kutengeneza hoja zilizokosa mashiko na ushahidi ni rahisi sana kuliko kuzitetea, ukiulizwa niliambiwa na mtu wake wa karibu na yeye atasema na mtu wake wa karibu, na yeye wa karibu ukija njiani ukajiuliza uyu mtu wa karibu ni nani, jibu huwa rahisi sana " NILIAMBIWA TU ILA SIMJUI" the cycle goes around again and again.
Dah jombaa mbona kama unatetea sana....kuna vitu watu wanajua ambavyo wewe huvijui...ni bora kupiga kimya uskilizie tu kama sisi wengine.
 
Dah jombaa mbona kama unatetea sana....kuna vitu watu wanajua ambavyo wewe huvijui...ni bora kupiga kimya uskilizie tu kama sisi wengine.
WEWE UMESEMA, NA HUWA SITETEI UJINGA, NACHOSEMA NI REALITY SUCK IT OR LEAVE IT,
 
Back
Top Bottom