Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii Young Dee amedai Tunda ni mpenzi wake na hawajawahi kuachana, pia amesema anampga ushauri wa kumbadilisha kwenye maisha ndio maana anapagawa naye sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wazima tumesha elewaChibu atakuwa anawapiga chabo tu!
![]()
hahahahaaaaaaaaChibu atakuwa anawapiga chabo tu!
![]()
Msanii Young Dee amedai Tunda ni mpenzi wake na hawajawahi kuachana, pia amesema anampga ushauri wa kumbadilisha kwenye maisha ndio maana anapagawa naye sana
Funguka ukimwi umefanya nn?Ukimwiiiiiiii
Nani muislam hapoDhambi,alafu wanajiita waislamu safi!
Bora wangekuwa makafikir tungeelewa!
Uislamu hatuna zinaah!
Tunda na Yoing D wazinzi kabisa hawa