Young Dee: Tunda ni mpenzi wangu na hatujawahi kuachana

Young Dee: Tunda ni mpenzi wangu na hatujawahi kuachana

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Young Dee amedai Tunda ni mpenzi wake na hawajawahi kuachana, pia amesema anampga ushauri wa kumbadilisha kwenye maisha ndio maana anapagawa naye sana
 
Chibu atakuwa anawapiga chabo tu!
f86c4c7ed3f55604bdfa2cd136a9a6ee.jpg
 
Hizi promo zingine za ajab sana, sasa huyo tunda anafanya ishu gani ambayo ina mantiki?
 
Dogo atakuwa hajapona aisee... Hizi ni dalili za magonjwa ya akili. Hata kaka yake yeezzzy naye aliugua akajipeleka hospital... Dogo nashauri akimbie hosp fastaaa
 
Tuache masihara.Kijana anafaidi san.Mi nakapendaga kaTunda jamn
 
Jamaa alijibebea mtoto mkali sema basi tu penye miti hakuna wajenzi
 
Dhambi,alafu wanajiita waislamu safi!
Bora wangekuwa makafikir tungeelewa!

Uislamu hatuna zinaah!
Tunda na Yoing D wazinzi kabisa hawa
 
Back
Top Bottom