Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Watu wengine bana. Huyu jina lake tu linanifanya nisipoteze muda kusikia anachosema kwenye muziki wake.

That name typifies the rap game stereotypes; stupidity, phoniness, wannabe, some rick rossin' kinda nonsense all day.
 
Kwambali namuona akienda sober house young killer hata angemuuliza kaka ake Fid Q John makini anajua amafanye nini kwa wakati gani
 
Kwelii Kbsaa mkuu.. Badala ya kupiga kaz wanabaki kulalama tu.. BTW hawapendi ni ya 2004 mkuu
Asante kwa marekebisho, nilivyomsikia mara ya kwanza sikupay attention sana kwake, nilijua ni msanii wa kupita tu, ila kila miaka ilivyosonga alikuwa ananiprove wrong, alipotoaga stimu zimelipiwa kuanzia hapo sikuwaga na doubt juu ya uwezo wake hadi leo hii, halafu kanatokea kajamaa from no where kanasema anabebwa
 
Mkuu wasanii wa bongo wakiona nyimbo zao zineshindwa penya mainstream ndo wanaanza Leta maneno kua fulani anabebwa na ujinga mwingi, badala wakae wajiulize nini soko linataka waje na madini ya kutosha ili watuteke wanabaki kulalama tu
 

Mkuu unamaanisha hata huko kwenye industry ya muziki kuna ukabila?

Duuuuuu twafaaaaa
 
we unaakili sana kuna coment nmeitoa hapo juu kuwa joh aendelee hvhvo atatiboa anajua soko limekaa vp
 
clouds wana tabia ya kuwabeba wasanii
hatukatai ni wazuri Ila wamezidi kuwabeba.
wakimkazania msanii mpaka utona kero...
sasa hivi wako na Darassa
kila kipindi, mziki unaweza pigwa zaidi ya mara10 clouds kwa kutwa moja.
kuna kipindi walikazana na rubby, mpaka kero

yani wakishikilia msanii wana mu-overrate hicho ndicho wanaboaga sana
 
Joh nimesikia track yake ya kwanza mwaka 2005 (hawapendi), kuanzia hapo hajawahi kurudi nyuma ni hit after hit hadi Leo hii. Namuheshimu sana msanii anayeweza kumaintain, wengi wamepita hapo katikati na tumewasahau, wengine wako sober house
sober[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
sikubaliani na huyu dogo, joh ni rapper mkali, n kimsingi joh na huyu young wana rap style tofauti, so kwa maoni yangu sioni kama joh makini anabebwa, joh ana strategy kubwa kuliko huyu dogo
Sidhan kama ni kweli ulichoongea but naheshimu waoni yako
 
Kufikiri saa nyingine nikuzito zaidi ya mawe! Ni media ngapi zinazomilikiwa na wachaga kiasi cha kumpaisha kimataifa?
 
Namshauri aende kwa Nahreal akatengenezewe wimbo pale , atatoboa nje lazima maana jamaa tayari ana connections za nje ila akiendelea na hao maproducer wa vichochoroni ataishia hapa hapa bongo

Msilete mfano wa darasa, jamaa ana nyot yake , hawa waimba nyimbo za kawaida waende kwa Naheal atazipush nje hata kama ndani hazijahit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…