Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Wengi wa wachangiaji naona hawajatazama hiyo clip.. Wamekuja kudiss tu
 
Hebu nitajie wimbo mmoja wa joh ambao ni wakijinga kabisa lakini umepewa promo na hao watangazaji wachaga ambao naamini ndio pekee wanatangaza vituo vyote hapa Tanzania
Vipi ashakutajia?
 
Watangazaji wamegeuka mameneja.... Wahenga walisema....
 
Msanii Young Killer anadai Joh Makini anabebwa na kudai ni suala ambalo lipo wazi kwa kuwa watu wengi wanalizungumzia
Amemtolea mfano Chid Benz kulisema hilo lakini akasema tena sio yeye anasema bali me quote yanayosemwa na watu.

weusi wawajibu waliosema JOH MAKINI ANABEBWA!
 
Hebu nitajie wimbo mmoja wa joh ambao ni wakijinga kabisa lakini umepewa promo na hao watangazaji wachaga ambao naamini ndio pekee wanatangaza vituo vyote hapa Tanzania

Naomba unitag akikupa jibu wabogo buana Mtu anabebwa toka mwaka 2004 Mpaka leo MTV Trace Dogo mda si mrefu mtaskia yupo sober
 
SASA MBONA NAKAZANIA CHIDI KASEMA ANAKWEPA AU....AACHE UJINGA JAPONAMKUBALI SANA NA IZIKIYAKE MIKALI ILA HAPO SIO...JOH ANARUSHIWAMAWE...JOH NI MKALI TU
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

hata mimi kameniuzi sana.. na nyimbo zake kuanzia sasa ni marufuku kusikika katika masikio yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tumsamehe dogo kalewa umaarufu
 
Joh Makini songi lake la maana ni "hao"tu zingine zote hakuna kitu...
 
hizo nyimbo kali anayeamua nani?

mtanzania wa ngudu au kile masasi? au wale wanaojua hiphop

fidq haeleweki
roma habadiliki

mashairi yao huwezi fananisha na joe makini,

joe yuko flexible wala hapendelewi

ebu weka wimbo mmoja wa fidq ambao unaamini ulikuwa uwe hit song
 
Naomba unitag akikupa jibu wabogo buana Mtu anabebwa toka mwaka 2004 Mpaka leo MTV Trace Dogo mda si mrefu mtaskia yupo sober
Majitu mengine ni majinga tu.. Sasa kama huyu ameleta hoja ya watangazaji wachaga eti ndio wanambeba.. Mbona hajiulizi kwanini mdogo wake joh(Niki wa pili) hafiki level za joh?? Au hao watangazaji wachaga hawamuoni Niki wa pili??
 
huu ni ukweli ambao tunausemaga wachachee mkuu big up
 
Majitu mengine ni majinga tu.. Sasa kama huyu ameleta hoja ya watangazaji wachaga eti ndio wanambeba.. Mbona hajiulizi kwanini mdogo wake joh(Niki wa pili) hafiki level za joh?? Au hao watangazaji wachaga hawamuoni Niki wa pili??
Mkuu wengi wanaomponda Joh wanata eti achane kama kwenye "Ao". Wanashindwa kung'amua ata Fid Q Wa kwenye "Huyu na Yule" sio uyu Wa Leo. Awaon kua ata uyo Roma anabadilika awe Msasa. Uwezi kuamini Roma anaimba nyimbo inaitwa K tena kwenye mdundo Wa singeli, awamwon Legendary Prof J, Sugu, ata mbabe Kalapina aliimba kabisa na bado akashindwa kumantain. Wasanii wanaojifanya hiphop halisi kina Sparkdogy, Chindo, Bounako, Tamadun wako WAP,?
Mziki ni biashara, unaleta bidha ambayo watu awaihitaj unategemea nini? Bidha ni lazima ifanyiwe Promo kuwafikia walaji, ili wenyewe waone na kama inawafaa wataitumia tena na tenaa, sasa Wewe utengeneze bidhaa yako afu ukae Nayo ndani unategemea nn?
Mashabiki wanaotaka MCs wafanye Hiphop halisi awafiki ata kwenye show za Kilinge Dar au SUA Ya Arusha ambako kiingilio akizid elfu mbili na hapo ndo inapatika hiphop halisi.

Ukiacha Weusi Bongo akuna kundi LA hip hop linaweza kufanya show wenyewe bila kualika Bongofleva.

Young killer alitakiwa aende kwa Joh akamuulize, Bro unachezaje chezaje mbona tangu 2004 aujawai kupotea kwenye game, apewe manuva..

Ni rahisi sana kukosoa Ila sio rahisi kufika apo Jamaa alipofika.
 
hizo nyimbo kali anayeamua nani?

mtanzania wa ngudu au kile masasi? au wale wanaojua hiphop

fidq haeleweki
roma habadiliki

mashairi yao huwezi fananisha na joe makini,

joe yuko flexible wala hapendelewi

ebu weka wimbo mmoja wa fidq ambao unaamini ulikuwa uwe hit song
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…