Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Hna uhakika Joh Makini ni mchaga au Mmasai wa Arusha mjini?
 
Sioni anapobebewa huyu joh,ni mkali tokea wayback halafu pia ni mjanja,anajua soko la muziki linataka nn
 
Yeyote anayesema Joh anabebwa na awe wa kwanza ngoma tu ya Joh anayohisi imebebwa na media.
 
Jina lenyewe tu la kishamba, eti young killer?????
 
joh ni rapa mkali sana hakuna asie jua hili ila kuna media na mapresenter wakaskazn wanatka kutuaminisha kuwa joh ndie rapa mkali kuliko wote bongo kitu ambacho s kweli, nb joh kwa kimataifa endelea hvhvo kuimba commercial utatoboa kma marapa wa sauz

kwa hiyo hao presenter wanaweza kusema wewe demu mzuri kuliko wote na ukaamini...
 
Msanii Young Killer anadai Joh Makini anabebwa na kudai ni suala ambalo lipo wazi kwa kuwa watu wengi wanalizungumzia
Amemtolea mfano Chid Benz kulisema hilo lakini akasema tena sio yeye anasema bali me quote yanayosemwa na watu.

 
Km tunambeba sisi mashabiki yeye kinamuuma nini nayeye si atafute wa kwake wa kumbeba
 
Huyo mtoto laana ya kumdiss Joh itamtafuna na hatahit tena, mwamba ndio kwanza anavuta waya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…