Young Lunya kusainiwa Sony

Young Lunya kusainiwa Sony

Vanessa Mdee hajapotea bado yuko sanaa, ila kaamua kupumzika na kuishi maisha mengine nje ya Muziki, ila bado umaarufu anao, kazi ingine ya sanaa, na maisha ya ndoa na malezi kwa mtoto.

Ommy Dimpoz yupo sana kwa game, ila now time anatoa hits kwa kwa mpangilio, umaarufu anao, maisha anayoishi hata hao wasanii wengine wanayaona kwa TV km sio kuyasikiliza Redioni,

Labda huyu Baraka DA Prince ndo unaweza sema kapotea.
Nwei naye MBUZI achange katata yake vizuri.

Ngoja niangalie vzr Id[emoji16][emoji16]
 
Chawa wa Mdee family
 
LUNYA ni rapa mkali sana wa kizazi hiki cha sasa...Hii platform itampa faida sana sio kiuchumi bali kwa sanaa yake kufika mbali zaidi.Nategemea sasa kumuona akifanya vizuri kwenye soko la muziki kwa ukanda wa Afrika Mashariki
 
Jamaa Ana akili ya ziada

Elimu siyo kila kitu

Ova

Tena creative director, ni kazi ambayo hua makampuni wanafanya na watu wenye exposure nakumbuka NIKE waliwahi kufanya kazi na Usher Raymond, kuna mambo hayataki madegree ommy pale kazi kubwa ni kudesign matangazo ambapo matangazo yote ya GSM ommy ndio huyaandaa na kutafuta wa kuyafanya na kuanzia kushot hadi yanaruka hewani ndio moja ya majukumu yake lakini pia kutafuta bidhaa iliyopo ontrend aishauri kampuni bidhaa ifike sokoni haraka wapige pesa,
 
Back
Top Bottom